- Shiwanyuba
- Fri, Apr 22, 2022 11:01 AM
Kongano la ubunifu ni ajira limeandaliwa na shirika la COSTECH chini ya wizara ya sayansi na teknolojia kuanzia tareh 20 adi 22 april 2022.
lengo ni kukuza ufanisi wa kutumia mitandao katika kukuza biashara za wajasiriamali mbalimbali tanzania.