- Kiwango Leather Cluster
- Fri, Apr 22, 2022 9:18 AM
mafunzo haya yamefanyika sido usangi yakihusisha kuhuisha teknolojia ya kusindika ngozi kwa kutumia kemikalirafiki kwa mazingira. yalihusisha wasindikaji 14 ambao walipatiwa ujuzi wa kuanzia kuandaa ngozi hadi kuikamilisha katika ubora unaohitajiba pasipo kuchafua mazingira