Delicious dried mangoes
Embe za kukaushwa. Je wajua ulaji wa maembe ni muhimu kwa afya yako? Hizi hapa ni baadhi ya faida za kula maembe yaliyo kaushwa;
- Huboresha afya ya macho
- husaidia kukabili kisukari
- Ni chanzo kizuri cha madini ya chuma
- Huboresha afya ya mwili
- Huboresha mmeng'enyo wa chakula
1 g
- 3000 Tsh.
You can reach us through the following contacts
Name | Morogoro Food Processors Cluster Initiative (mfpci) |
---|---|
Phone number | 0754476410 |
mfptcmoro@gmail.com | |
Address | P.O.BOX 3254 |
Location | Morogoro |
Region | Morogoro |
District | Morogoro Mjini |
Ward | Kihonda |