Vegetable
Mboga zilizo kaushwa, mboga hizi zina kuwa safi na salaama, uandaaji wake umekidhi viwango vya ubora wa usindikaji wa chakula na zipo tiari kwa matumizi, utumiaji wa mboga za majani una faida nyingi;
- kuimarisha afya
- kuongeza vitamini C
- kuongeza kinga ya mwili
- hazina mafuta mengi, hivyo husaidia kupunguza uzito
contact supplier: 0714617310
Email: sigaretiramadhani52@gmail.com
1 g
- 2000 Tsh.
You can reach us through the following contacts
Name | Morogoro Food Processors Cluster Initiative (mfpci) |
---|---|
Phone number | 0754476410 |
mfptcmoro@gmail.com | |
Address | P.O.BOX 3254 |
Location | Morogoro |
Region | Morogoro |
District | Morogoro Mjini |
Ward | Kihonda |